Event ya Baraza Aspirants kuna msee alikuwa ana vie for senator then akaanza kupeana manifesto zenye ni role ya Mp. Also, kuna point alisema ata make sure kuna rehabs na atahakikisha vijana wameacha drugs. Msee akamuuliza "So mtu sober kama mimi hautakuwa na shugli yangu?"😂😂😂