FINCA Tanzania @FINCATz · Nov 27, 2024, Nov 27, 2024, 7:41 AM Tunawatakia uchaguzi mwema wa viongozi wa Serikali za Mitaa.Kwa huduma zote leo, tembelea wakala wetu au piga*150* 19# #fincatanzania
FINCA Tanzania @FINCATz · Nov 26, 2024, Nov 26, 2024, 5:56 PM Akiba ni ngao na ndio maana tunakuhamasisha kuweka akiba. Anza kuweka leo, jifunze kuokoa kesho.#fikanafinca #fincatanzania
FINCA Tanzania @FINCATz · Nov 24, 2024, Nov 24, 2024, 3:15 PM Popote utakapoenda wikiendi hii, kumbuka kodi ya kupiga ni moja tu. *150*19##fincatanzania
FINCA Tanzania @FINCATz · Nov 22, 2024, Nov 22, 2024, 3:27 PM Katika safari yako ya kuweka akiba, FINCA inakuhakikishia kukupa viwango vya makato ambavyo havitakuumiza ili ufikie makengo yako.#fikanafinca #fincatanzania
FINCA Tanzania @FINCATz · Nov 20, 2024, Nov 20, 2024, 3:55 PM Mwanzo mpaka mwisho, tuko kuhakikisha tunafanya safari yako ya kuweka akiba kuwa rahisi kwako.#fikanafinca #fincatanzania Open video 0:20