π¨π΄βͺοΈArsenal wanashinikiza kukamilisha dili la Riccardo Calafiori wiki ijayo kwani duru ya mwisho ya mazungumzo tayari imepangwa. Arsenal wanajiamini kwani Calafiori anataka kuhama, anapenda sana mradi wa #AFC na alikubali mkataba hadi Juni 2029 kwamsimu wa β¬4m. @FabrizioRomano