@RadioCitizenFM Hujambo dada @Sally_Mbeyu ? Maeneo ya Wisconsin na mke wangu mpendwa Nivah tunategea. Jumapili njema kwa Ogango PAG wakiongozwa na Rev. Lameck Omboka.
Baraka tele ndani ya #PambazukaJumapili.
Baraka tele ndani ya #PambazukaJumapili.