KBC Radio Taifa
@RadioTaifaFM
Ukurasa Rasmi wa KBC Radio Taifa. Stesheni ya shirika la utangazaji nchini KBC. #KBCRadioTaifa
1K Following 70K Followers 94K Posts
Latest posts 5
Enzi ya kuwa kwenye upinzani wa kudumu imefika mwisho. Sitawaweka watu wangu nje ya Serikali kwa kisingizio cha kutaka kuonekana msafi kisiasa - Ledama Olekina
#KBCRadioTaifa ^FN
#KBCRadioTaifa ^FN
Sijawahi kuhudhuria hafla yoyote ya kuapishwa kwa Rais kwa sababu maisha yangu yote ya kisiasa nilikuwa upinzani pamoja na Raila. Kabla ya kifo chake, alinikabidhi kwa Ruto - Ledama Olekina
#KBCRadioTaifa ^FN
#KBCRadioTaifa ^FN
Hatuwezi kupuuza taarifa zinazotoka kwenye baa na vilabu vya starehe kwa kisingizio kwamba hazina uzito. Kwa namna fulani, watu wanapokuwa wamelewa huwa wanasema ukweli - Justina Wamae
Unakubaliana na kauli ya Justina wamae ?
#KBCRadioTaifa ^FN
Unakubaliana na kauli ya Justina wamae ?
#KBCRadioTaifa ^FN
AFCON 2027: Mechi dhidi ya Africa Kusini ni muhimu sana kwetu, binafsi nataka kusaidia timu yangu, sio rekodi binafsi , la msingi ni kujenga timu yenye muundo wa ushindani kuelekea AFCON 2027 - Michael Olunga.
#KBCRadioTaifa ^FN
#KBCRadioTaifa ^FN
1:30