“Mimi ni raia mwema na mzalendo wa nchi hii. Nimekuwa Mbunge mara mbili. Nimekwenda jeshini. Nimekuwa Rais wa Mawakili. Mimi sio mpiga kelele na wala mchochezi. I am a SOLID PATRIOT.” - Tundu Lissu.
"Mkitoa hukumu [ya uchochezi] mzingatie: nimekaa gerezani zaidi ya siku 500; nimenyimwa kuonana na Mawakili wangu na wakati mwingine hata haki ya kuabudu. Majaji wenzenu walisema haya mambo yamechagiza mimi kutopata haki ya msingi ya kujitetea." - Tundu Lissu now.