HOSSANA MACHEO:- Hii leo wacha Mungu awe kimbilio lako na msaada wako katika hali zote na utashinda Zaburi 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso youtube.com/watch?v=akZDul… #Hossanamacheo@BHusema @VictoMandalaMC #tbt#birthdayloading
HOSSANA MACHEO:- Mwanzo 26:4-5 Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia. Kwa sababu Abrahamu alisikia sauti yangu, akayahifadhi... youtube.com/watch?v=WbK19w… #Hossanamacheo@BHusema