I helped someone climb the mountain and found that, I too had reached the TOP.
Batholomeo Shukran
Verified account This account is verified. Learn more@batho_shukran
2K Following 9.1K Followers 23K Posts
Latest posts 5
Hii ni kubwa sana 🎊🔥
@OrbitX_Pay @batho_shukran @OrbitX_Pay Mmefanya Nile Mihogo Leo Asubuhi Kupitia Qr scan Feature inayopatikana ndani ya APP yetu pendwa.View quoted post on X
Jana kwa ufupii....
♡Tulijitahidi kuwahi. Tulijitahidi kuwahi sana. Hamna mtu aliyezidi nusu saa zaidi ya muda tuliopanga.
♡ I introduced @OrbitX_Pay and then kila mtu mwenye app tukamuwekea USDT kadhaa ili alipie coffee yake...
-And beer, of course😅
♡Then tukachukua QR code na watu wakaanza kuzilipa coffee zao. So basically unakua na USDT kwenye wallet yako, then unalipia TZS sehemu yeyote ile yenye QR code. That's THE IDEA.
♡ CEO na co-founder wa @nedapay_xyz
alikuwepo ambapo tulipata time ya kusikiliza nondo 2 3 kutoka kwake.
Namuongelea @machuche1
♡Tukapata coffee, pictures, networking...then tukaondoka.
♡Ilikua ni moment nzuri ya kukutana na wadau. Kushare knowledge, opportunities na ideas.
SHUKRANI KWA WOTE MLIOTOKEA. SHUKRANI ORBITX.
Huu ni mwanzo tu. Stay tuned---kwa sababu soon tutakua na next meetup.
Ciao' ☕️

Mutati anasema bottom ya BTC ni 64k
Moja ya watu waliofanikisha event ya jana kufanikiwa ni @Mayankdefi
S/O kwake na the team
Ps. Lets follow him kwa updates.
S/O kwake na the team
Ps. Lets follow him kwa updates.