Neema kutoka Mpwapwa, Dodoma, anashiriki matarajio yake kwa miaka 10 ijayo. Kila msichana ana ndoto zinazostahili kusikilizwa na kuungwa mkono.
Tuwape wasichana nafasi ya kuota, kuchagua na kutimiza ndoto zao.
#InvestInGirls #CDFTanzania
Tuwape wasichana nafasi ya kuota, kuchagua na kutimiza ndoto zao.
#InvestInGirls #CDFTanzania