Twitxy Saved

Kenyan

Verified account This account is verified. Learn more

@itsdylanke

•Tipster •MUFC •Cars. Sports
tinyurl.com/4jjbm27r Joined March 2018
5K Following 86K Followers 428K Posts

Latest posts 5

Pinned post

Kenyan Verified account @itsdylanke
Kuna gari ukinunua, mechanic wako anaenda kuchukua loan immediately because anajua utamsaidia kulipa yote.

For example:
1. VW Golf
2. Nissan X-Trail NT30 & NT31
3. Subaru Legacy
4. BMW X5 ya “deal ya haraka”
5. Range Rover ya bei ya Demio
6. VW Touareg
7. Audi A4/Q5
8. Mercedes yenye dashboard imewaka kama Christmas tree
9. Nissan Serena yenye CVT inaanza kuomba prayers
10. Any European car yenye seller amesema, “Ni sensor tu.”

Mechanic akiona umepark nayo nje ya garage anasalimia mpaka watoto wako because anajua mmeanza long-term relationship😭. Frauds

Car owners, ongezeni kwa comments… ni gari gani mechanic akiona anaanza kupanga holiday?
154 replies 362 reposts 2.2K likes 179K views View on X