Karibuni dar wakuu 🙏🏿🙏🏿 Mama ana bleach, mtoto kachanganyikiwa full vikuku na tattoo za Mabegani 💔😂 Ukichunguza zaidi dingi father aliacha ndala mapema
Pamoja na yote aliyowahi kuyafanya huyu binti mrembo Wa Kiarabu, lakini alitambua makosa yake akaomba radhi na akarudi kwenye ibada na sasa Ni influencer mkubwa Sana duniani. Pia aliomba mambo yake yotee yafutwe mitandaoni kote na hivi sasa huwezi kuyaona popote.