Radio Ashe is a Christian station broadcasting from Maralal, Samburu County that seeks to transform communities into Christ likeness, through Biblical Teaching
#faithfriday ndio hii imewadia, tujikite katika maswala ya imani pamoja tunapoendelea na shughuli zetu hapa #shehenalabaraka ukiwa nami @rachel_omotto kupitia Calls 0712000014 Sms 0712040010
Bwana Yesu asifiwe Msikilizaji! U hali gani? Ni wakati wa kunyakua baraka kwenye mpango bab'kubwa #AsheBreakfast ukiwa nami @EmmanuelMatano4 @radio_ashe Unatune in ukiwa wapi? Call 07 12 000014 Sms 07 12 04 00 10
Ni #shehenalabaraka vyb kama vyb mabingwa wenzangu tupige shughuli bila kuchoka nami @rachel_omotto tuanze muda hii hadi baadae Calls 0712000014 Sms 0712040010